• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zimbabwe yaiuzia China ndovu 35

    (GMT+08:00) 2017-01-06 10:45:17

    Idara ya usimamizi wa hifadhi na wanyamapori ya Zimbabwe Zimparks imetangaza kuwa, nchi hiyo imeiuzia China ndovu 35 wa Afrika. Msemaji wa Zimparks Caroline Washaya-Moyo amesema, wanyama hao walihamishwa kutoka mbuga ya wanyamapori ya Hwange iliyoko kaskazini magharibi mwa Zimbabwe Desemba 23 mwaka jana, kufuatia tathmini iliyotolewa na Zimparks na shirika la kusimamia wanyama kuhusu kama mazingira ya China yanawafaa ndovu hao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako