• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Jack Ma wa Kampuni ya Alibaba ya China akutana na Bw. Trump

    (GMT+08:00) 2017-01-10 10:35:09

    Mkurugenzi mkuu wa shirika kubwa la biashara kwenye mtandao wa Internet la China Bw. Jack Ma amekutana na rais mteule wa Marekani Donald Trump, na wamejadili mipango ya kuyasaidia mashirika madogomadogo ya Marekani kuuzia bidhaa nchini China kupitia shirika lake. Alibaba inashirikiana na mashirika na wakulima wa Marekani kuuza bidhaa kwa wateja zaidi ya milioni 450 nchini China, na imeweka lengo la kusaidia mashirika milioni 1 madogomadogo ya Marekani kuiuzia China bidhaa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako