• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatengeneza ncha ya kalamu

    (GMT+08:00) 2017-01-10 18:46:36

    China, ambayo ni mtengenezaji mkuu wa kalamu duniani, imetengeneza ncha ya kalamu, na hivyo kuondoa utegemezi wa muda mrefu wa kuagiza kifaa hicho nje ya nchi.

    Kampuni ya Chuma na Chuma cha Pua ya Taiyuan, imesema imeweza kuzalisha chuma kinachofaa kwa kutengeneza ncha hiyo baada ya majaribio ya miaka mitano.

    Kampuni hiyo imesema ncha za kalamu zilizotengenezwa China ziko tayari kuzalishwa kwa wingi na zinatarajiwa kuchukua nafasi ya zile zinazoagizwa katika miaka michache ijayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako