• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Msafara wa meli inayobeba ndege wapita kwenye mlango bahari wa Taiwan

    (GMT+08:00) 2017-01-12 21:04:05

    Msafara wa meli za kijeshi za China ikiwemo meli ya kubeba ndege Liaoning umepita kwenye mlango bahari wa Taiwan leo asubuhi ukiwa njiani kuelekea kwenye mafunzo katika Bahari ya Kusini ya China.

    Msemaji wa jeshi la majini la China Liang Yang amesema, meli hizo zilipangwa kisayansi na kuratibiwa kwa makini wakati wa safari hiyo.

    Amesema, tangu kutengenezwa kwake mwaka 2012, Liaoning imekuwa ikifanya majaribio na mafunzo kwa muda mrefu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako