• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuongeza nguvu kukinga ajali kubwa za uzalishaji

    (GMT+08:00) 2017-01-16 19:39:38

    China itaongeza nguvu za kuzuia kutokea kwa ajali kubwa za uzalishaji na kulinda maisha na usalama wa mali za raia.

    Hayo yamesemwa na mkurugenzi wa Idara Kuu ya Usalama wa Shughuli za Uzalishaji ya China Yang Huanning alipohutubia mkutano kuhusu usalama wa uzalishaji uliofanyika leo hapa Beijing. Bw. Yang amesema hali ya usalama wa uzalishaji bado inakabiliwa na changamoto kubwa nchini China, na mwaka jana ajali elfu 60 zilitokea na kusababisha vifo vya watu elfu 41.

    Mkutano huo umeeleza kuwa mwaka huu kazi za kipaumbele zitafanywa katika kupunguza idadi ya jumla ya ajali, vifo na ajali kubwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako