• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China akutana na rais wa Ukraine na mfalme wa Ubelgiji

    (GMT+08:00) 2017-01-17 21:21:22

    Rais Xi Jinping wa China leo mjini Davos amekutana na rais Ukraine Petro Poroshenko wa Ukraine na mfalme Philippe Leopold Louis Marie wa Ubelgiji.

    Kwenye mazungumzo yao, rais Xi amesema China inapenda kuongeza ushirikiano kati yake na nchi hizo mbili katika maeneo mbalimbali.

    Rais Poroshenko amesema nchi yake inapenda kushirikiana na China kupanua ushirikiano wa kisasa na kibiashara. Naye Mfalme Philippe Leopold Louis Marie amesema nchi yake inapenda kushirikiana na China kuhimiza mchakato wa umoja wa bara la Ulaya na kulinda amani na maendeleo ya dunia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako