• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Manchester City yapata idhini ya kumnunua rasmi Gabriel Jesus

    (GMT+08:00) 2017-01-20 09:44:25
    Klabu ya Manchester City imepata idhini ya kumnunua rasmi winga wa Brazil mwenye umri wa miaka 19 Gabriel Jesus na sasa anaweza kucheza dhidi ya Tottenham kesho Jumamosi.

    Jesus amehamia City kutoka klabu ya Palmeiras ya Brazil kwa £27m.

    Mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil alikubali kuhamia City kwa mkataba wa miaka mitano Agosti mwaka jana.

    Alisalia na Palmeiras hadi mwisho wa msimu wa soka Brazill mwezi Desemba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako