• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Rwanda asisitiza mchango wa sekta binafsi kwenye maendeleo ya mtandao wa internet

    (GMT+08:00) 2017-01-20 10:18:09

    Rais Paul Kagame wa Rwanda amesisitiza mchango wa sekta binafsi katika maendeleo ya mkakati wa kidigitali kwenye mkutano wa baraza la uchumi duniani WEF mjini Davos. Rais Kagame amesema ingawa serikali zinaweza kutoa mchango katika kuendeleza teknolojia ya kidigitali kwenye upande wa sera, sekta binafsi pia inahitajika kama mwenzi kwenye uvumbuzi na uwekezaji. Amesema ana imani kuwa Afrika inayojiendeleza kutoka kwenye msingi wa chini, inalenga kujiendekeza haraka, kwa kutambua kuwa teknolojia ya mawasiliano ya habari ina manufaa zaidi kuliko hatari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako