• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Syria kuhudhuria mazungumzo ya Astana

    (GMT+08:00) 2017-01-20 10:19:12

    Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Syria Bw Staffan de Mistura ataongoza timu ya Umoja wa Mataifa kuhudhuria mazungumzo ya amani ya Syria yatakayofanyika huko Astana, Kazakhstan. Kabla ya hapo, naibu wa Bw De Mistura aliteuliwa kuongoza timu ya Umoja huo katika mazungumzo yaliyopangwa kufanywa Januari 23. Umoja huo umesema, kutokana na ugumu na umuhimu wa masuala yatakayojadiliwa kwenye mazungumzo hayo na ngazi ya juu ya washiriki wa mkutano huo, katibu mkuu wa Umoja huo amemtaka Bw de Mistura mwenyewe kuongoza timu hiyo kwenye mazungumzo hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako