• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping ataka maandalizi mazuri ya michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing mwaka 2022

    (GMT+08:00) 2017-01-24 10:49:47

    Rais Xi Jinping wa China ameamuru idara husika na serikali za mitaa zihakikishe maandalizi mazuri ya Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing ya mwaka 2022.

    Rais Xi amesema hayo alipokagua maandalizi ya michezo hiyo katika mji wa Zhangjiakou mkoani Hebei mapema jana.

    Rais Xi amesisitiza kuwa mpango wa maandalizi ya michezo hiyo unatakiwa kupewa kipaumbele, lakini pia unatakiwa kuendana na kanuni za kuhifadhi maliasili na kutumia fedha kwa ufanisi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako