• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yapenda kushirikiana na pande mbalimbali kutatua mgogoro wa Syria

    (GMT+08:00) 2017-01-25 18:31:55

    Msemaji wa Wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying leo hapa Beijing amesema, mazungumzo kuhusu suala la Syria yamefanyika kwa wakati, na yana umuhimu mkubwa kwenye utatuzi wa kisiasa wa suala hilo.

    Amesema China inaona kuwa, kwa sasa dirisha la matarajio ya kutatua mgogoro wa Syria limefunguliwa, na inapenda kushirikiana na pande mbalimbali kutatua suala hilo.

    Bibi Hua Chunying amesema, China inaamini kuwa mkutano huo ni maandalizi muhimu ya kipindi kijacho cha mazungumzo ya Geneva, na utaongeza nguvu ya mazungumzo ya Geneva.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako