• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Viongozi wa China watoa salama za mwaka mpya wa jadi wa China

    (GMT+08:00) 2017-01-26 19:18:21

    Rais Xi Jinping wa China kwa niaba ya kamati kuu ya Chama cha kikomunisti cha China na baraza la serikali, ametoa salamu za heri ya mwaka mpya wa jadi wa China kwa wachina wote mjini Beijing.

    Rais Xi Jinping ametoa hotuba kwenye Jumba la mikutano ya umma mjini Beijing kwa wachina wa China bara, Hong Kong, Macau, Taiwan na wale wanaoishi nje ya China.

    Viongozi wengine waandamizi wa China akiwemo waziri mkuu Bw Li Keqiang pia walikuwepo kwenye shughuli hiyo.

    Mwaka huu sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China inaangukia tarehe 28 Januari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako