• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa atoa salamu za mwaka mpya kwa wachina

    (GMT+08:00) 2017-01-27 10:24:31

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres ametuma salamau za heri ya mwaka mpya kwa watu wa China. Katika salamu zake kwa njia ya ya video, Bw. Gutettes amesema, mwaka wa jogoo unaashiria kuanza mapema na mwanzo mpya, ambao unasisitiza umuhimu wa uhai, dhamira na uwajibikaji mkubwa katika kazi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako