• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Uhuru Kenyatta atoa salamu za mwaka mpya wa jadi wa kichina kwa wachina

    (GMT+08:00) 2017-01-29 18:50:52

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametoa salamu za mwaka mpya wa jadi wa kichina kwa wachina wote na kuwatakia heri ya mwaka wa jogoo.

    Kwenye salamu zake, rais Kenyatta amesema uhusiano wa kiuchumi, kibiashara na kitamaduni kati ya Kenya na China ni wa kihistoria, na Kenya inathamini urafiki wenye uhai kati yake na China na kupenda kuona uhusiano wa pande hizo ukiendelezwa zaidi na kupata maendeleo mapya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako