• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wasafiri wanasubiri kuokolewa baharini baada ya boti ya Malaysia inayobeba watalii wa kichina kuzama

    (GMT+08:00) 2017-01-29 18:52:45

    Ubalozi mdogo wa China huko Kota Kinabalu nchini Malaysia umesema boti iliyokuwa haijulikani ilipo na kubeba watalii wa kichina imegunduliwa kuzama katika jimbo la Sabah, Borneo Kaskazini huku wanusurika kadhaa wakiripotiwa kuelea baharini na kusubiri uokoaji.

    Boti hiyo haikujulikana ilipo jana ikielekea Pulau Mengalum, kisiwa maarufu wa kitalii kutoka mji mkuu wa jimbo hilo Kota Kinabalu. Shirika la Utekelezaji Sheria Baharini la Malaysia limesema boti hiyo ilikuwa ikibeba watu 31 wakiwemo watalii 28 kutoka China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako