• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Marekani amfukuza kazi kaimu mwanasheria mkuu kwa kukataa kutekeleza amri kuhusu uhamiaji

    (GMT+08:00) 2017-01-31 19:53:11

    Rais Donald Trump wa Marekani amemfukuza kazi kaimu mwanasheria mkuu Sally Yates, saa kadhaa baada ya mwanasheria huyo kuiamuru idara ya sheria kutotetea amri ya rais ya kuwazuia kwa muda wahamiaji na wakimbizi, amri iliyosababisha maandamano nchini humo na lawama kutoka kwa jamii ya kimataifa.

    Taarifa iliyotolewa na ikulu ya Marekani imesema, rais Trump amemteua Dana Boente, mwanasheria wa Marekani kutoka Virgnia, kuchukua nafasi ya Bi. Yates mpaka mtu aliyeteuliwa kushika nafasi hiyo atakapothibitishwa na baraza la seneti.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako