• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mataifa 102 kushiriki Ras Khaiman Half Marathon

    (GMT+08:00) 2017-02-10 08:54:43

    Kivumbi kinatarajiwa leo Ijumaa katika mbio za Ras Khaimah Half Marathon, ambazo zimevutia mataifa 102.

    Katika makala haya ya 11, Kenya itakuwa ikisaka kushinda taji lake la saba mfululizo kwa upande wa kinadada.

    Baadhi ya majina yanayopigiwa upatu kung'aa ni bingwa wa Olimpiki mbio za kilomita 42 Jemimah Sumgong, bingwa wa Ras Khaimah mwaka 2011, 2012 na 2015 Mary Keitany na bingwa wa Tokyo Marathon mwaka 2016, Helah Kiprop, moja na bingwa wa zamani wa Olimpiki wa mbio za mita 5,000 na 10,000, Tirunesh Dibaba kutoka Ethiopia na mzawa wa Kenya, ambaye ni Mbahraini sasa Rose Chelimo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako