• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mlipuko watokea kwenye Kituo cha umeme kwa nishati ya nyuklia Ufaransa

    (GMT+08:00) 2017-02-10 10:35:45

    Mlipuko ulitokea jana asubuhi kwenye kituo cha kuzalisha umeme kwa nishati ya nyuklia cha Flamanville katika mkoa wa La Manche, magharibi mwa Ufaransa. Habari zinasema watu watano walijeruhiwa kidogo katika tukio hilo, lakini hakuna hatari ya kuvuja kwa mionzi, na uchunguzi kuhusu tukio hilo bado unaendelea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako