• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi kuu ya England EPL: Chelsea ngoma droo na Burnley

    (GMT+08:00) 2017-02-13 08:23:31

    Vinara wa ligi kuu ya Uingereza EPL, Chelsea wamelazimishwa sare na Burnley katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza EPL.

    Chelsea walitangulia kufunga dakika ya 7 kwa bao la Pedro lakini Robbie Brady aliisawazishia Burnley mnamo dakika ya 24 kwa Free Kick kali. Kwa matokeo haya, yanaiweka Burnley nafasi ya 12 ya msimamo wa ligi hiyo huku Chelsea akiendelea kuongoza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako