• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Balozi Tian Xuejun wa China nchini Afrika Kusini apewa tuzo ya Oliver Tambo ya Ubuntu

    (GMT+08:00) 2017-02-13 10:34:56

    Balozi wa China nchini Afrika Kusini Bw. Tian Xuejun amepewa tuzo ya Oliver Tambo ya Ubuntu ya mafanikio kwenye mambo ya diplomasia. Akiongea kwenye sherehe ya kukabidhiwa tuzo hiyo iliyofanyika Jumamosi huko Cape Town, balozi Tian amesema anafurahia kupewa tuzo hiyo wakati Afrika Kusini inaadhimisha miaka 100 tangu kuzaliwa kwa mwanadiplomaisa mashuhuri wa nchi hiyo Oliver Tambo, na kusema inaonesha urafiki mkubwa na uhusiano kati ya China na Afrika Kusini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako