• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Siasia apewa nafasi kubwa kuinoa Amavubi ya Rwanda

    (GMT+08:00) 2017-02-16 09:02:52

    Nyota wa zamani wa Nigeria Samson Amson Siasia pamoja na kocha mkongwe Winfred Schafer wanaongoza kwenye orodha ya makocha 8 wanaopewa nafasi ya kuifundisha timu ya Taifa ya Taifa ya Rwanda -Amavubi.

    Siasia aliongoza timu ya Taifa ya vijana ya Nigeria kutwaa medali ya Shaba kwenye mashindano ya Olimpiki ya mwaka jana aliyofanyiika nchini Brazili. Kwa upande wake Schafer aliongoza Cameroon kutwaa taji la Afrika kwenye michuano ya mwaka 2002 iliyofanyika nchini Mali.

    Katika orodha hiyo ya makocha 8 walioteuliwa kati ya makocha 52 waliomba kazi hiyo pia wapo kocha wa zamani wa Burkina Faso aliongoza kucheza fainali za Africa mwaka 2013 Paul Put.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako