• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yalaani vikali shambulizi la kigaidi lililotokea nchini Pakistan

    (GMT+08:00) 2017-02-17 19:07:27
    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang amesema China imeshitushwa na idadi kubwa ya vifo kutokana na shambulizi la kigaidi lililotokea nchini Pakistan, na kulaani vikali shambulizi hilo. Amesema China inapinga aina zote za ugaidi, na itaendelea kuunga mkono kithabiti juhudi za Pakistan katika kupambana na ugaidi, kulinda utulivu wa nchi, na usalama wa maisha na mali za watu wake. Jana usiku shambulizi la kujitoa muhanga lilitokea katika msikiti mmoja kwenye eneo la Sehwan mkoani Sindh, kusini mwa Pakistan, na kusababisha vifo na majeruhi ya watu zaidi ya 200.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako