• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya Maendeleo ya China yamesaidia maendeleo ya uchumi wa Cote d'Ivoire

    (GMT+08:00) 2017-02-17 19:27:02

    Akizungumza na waziri mkuu wa Cote d'Ivoire Bw Amadou Gon Coulibaly, Bw. Zheng amesema biashara za Benki hiyo zimepata maendeleo makubwa nchinini mwake chini ya uungaji mkono wa serikali ya nchi hiyo ambayo Benki hiyo inaitilia maanani sana kwa ushirikiano wake barani Afrika.

    Kwa upande wake Bw. Coulibaly amesifu mafanikio ya benki hiyo nchini humo, na kutarajia kushirikiana zaidi na benki hiyo katika sekta za nishati, ujenzi wa miundo mbinu na kilimo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako