• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la FA: Manchester United sasa kutua Stamford Bridge kuivaa Chelsea

    (GMT+08:00) 2017-02-20 09:18:29

    Manchester United sasa wataenda Stamford Bridge kupambana na vinara wa ligi kuu ya Uingereza Chelsea. Man U imefanikiwa kusonga katika droo ya raundi ya 6 ya kombe la Emirates FA baada ya kuing'oa Blackburn kwa kuichapa mabao 2-1.

    Raundi ya 5 ya kombe la FA itakamilika leo jumatatu usiku wakati timu ambayo haipo kwenye mfumorasmi wa ligi huko England, Sutton United watakuwa wenyeji wa Arsenal. Arsenal wanaonekana kupata mchekea kwa kuwa wakiishinda Sutton wanakutana na Lincoln City huku Tottenham waliowashinda Fulham kwa mabao 3-0 wao watacheza na Millwall.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako