• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia: Ethiopia imeendelea kuchanguliwa kama nchini ya kuwekeza na wawekezaji

    (GMT+08:00) 2017-02-20 19:47:25

    Ethiopia imeendelea kuchanguliwa kama nchini ya kuwekeza na wawekezaji, kwa sababu inavutia zaidi uwekezaji wa moja kwa moja (FDI) mara kwa mara.

    Hasa, katika sekta ya vitambaa na nguo na viwanda.

    Sekta hizi zimejenga mamilioni ya nafasi za ajira na usambazaji wa teknolojia.

    Na pia zimeweza kuvutia makampuni ya ndani na nje katika mwaka wa bajeti.

    Uwekezaji kutoka nje umeipa taifa maoni ya kufikia kipato cha kati ifikapo mwaka 2025.

    Ethiopia ina lenga mabilioni ya dola kila mwaka ya uwekezaji katika viwanda katika muongo ujao ili kuongeza mauzo ya nje na kuwa mtengenezaji mkubwa wa Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako