• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: vijana wamekumbatia kilimo biashara

    (GMT+08:00) 2017-02-20 19:48:15

    Sekta ya kilimo na mifugo nchini Rwanda kwa muda mrefu imechukuliwa na watu wazee.

    Lakini hivi karibuni, baadhi ya vijana wamekumbatia sekta hiyo na nia ya kupanua zaidi sekta ya kilimo na kuongeza usambazaji wa chakula kutoka shambani.

    Shirika la kilimona biashara la Vijana wa Rwanda lililoundwa mwezi Mei 2016 ili kuweza kuleta pamoja vijana kushiriki katika kilimo cha biashara nchini, hivi sasa kina vijana 1,265.

    Eric Manirakiza, mkulima wa sungura, anasema yeye ilianza na sungura 100 sungura katika mwezi Oktoba 2016, na hivi sasa ako na sungura 600.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako