• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • La Liga: Penalti ya dakika 90 yaipa Barcelona ushindi dhidi ya Laganes

    (GMT+08:00) 2017-02-21 08:41:30
    Penati ya Dakika ya 90 iliyofungwa na Lionel Messi ilipa ushindi Barcelona dhidi ya timu ya chini Leganes 2-1 katika mechi ya La Liga iliyochezwa Nou Camp.

    Barca walikuwa wa kwanza kufunga katika Dakika ya 4 kupitia Messi lakini Leganes walisawazisha dakika ya 71 kwa Bao la Unai Lopez.

    Barca walipata ushindi kwa hiyo Penati iliyotolewa baada Neymar kuangushwa ndani ya Boksi.

    Kwa ushindi huu wa Barca dhidi ya Leganes, umewaweka nafasi ya Pili huku ikiwa Pointi 1 nyuma ya Real Madrid wenye Mechi 2 mkononi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako