• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Arsenal yatinga robo fainali. Manchetser United uso kwa uso na Chelsea Machi 11, Stamford Bribde

    (GMT+08:00) 2017-02-22 08:28:06

    Arsenal imefuzu robo fainali ya kombe la FA kwa kuifunga Sutton United 2-0, mabao yaliyofungwa na Lucas Perez kdakika ya 26 na Theo Walcott katika dakika ya 10 mara baada ya kipindi cha pili kuanza. Katika mechi hiyo iliyochezwa Gander Green Lane, Arsenal sasa watakutana na Lincoln City katika robo fainali. Lincoln walifika robo fainali kwa kuwalaza Burnley siku ya jumamosi.

    Chelsea nao watakutana na Manchester United katika robo fainali ya kombe hilo huku kocha wa Man U, Jose Mourinho amesema kuwa Chelsea inapeleka nguvu zake kwenye kombe la FA kwakuwa tayari ni mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza.

    Michezo hii itachezwa kati ya tarehe 11 na 12 ya mwezi Machi mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako