• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mawaziri wakuu wa China na Ufaransa wakutana Beijing

    (GMT+08:00) 2017-02-22 09:40:23

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang jana alikutana na mwenzake wa Ufaransa Bw. Bernard Cazeneuve hapa Beijing. Kwenye mazungumzo yao Bw. Li Keqiang amesema, China inapenda kuimarisha ushirikiano na Ufaransa kwenye sekta za nishati ya nyuklia, usafiri wa anga, kilimo, matibabu na uhifadhi wa mazingira. Bw. Cazeneuve amesema Ufaransa inapenda kushirikiana na China katika sekta mbalimbali, na pia inapenda kufanya juhudi pamoja na China kulinda uhuru wa kibiashara na kuondoa sera za kujilinda kibiashara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako