• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wizara ya ulinzi wa Marekani yatoa mpango wa kupambana na kundi la IS

    (GMT+08:00) 2017-02-28 18:48:58

    Waziri wa ulinzi wa Marekani James Mattis amewasilisha mpango wa mwanzo wa kupambana na kundi la IS kwenye Ikulu uliotungwa na jeshi la Marekani.

    Msemaji wa wizara ya ulinzi wa Marekani Jeff Davis amesema, mpango huo ambao unalenga kuangamiza kundi la IS kwa kasi, bado uko katika hatua ya awali. Pia amesema, mpango huo hautahusu operesheni ya kijeshi pekee, na wala hautekelezwa katika nchi mbili za Iraq na Syria tu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako