• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Boeing yafunga ofisi Afrika Kusini na Kenya

    (GMT+08:00) 2017-03-02 17:46:53

    Shirika kubwa la kutengeneza ndege la Marekani Boeing limefungua ofisi mpya mjini Johannesburg Afrika Kusini na Nairobi Kenya zitakazoshughulikia biashara zake barani Afrika.

    Ofisi ya Johannesburg itaongozwa na Miguel Santos, ambaye ni mkurungezi wa Boeing kwenYe kanda ya Afrika ya chini ya Sahara na pia mkurungezi wa mauzo barani Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako