• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwaka jana uchumi wa China ulikua kwa asilimia 6.7

    (GMT+08:00) 2017-03-03 10:49:33

    Msemaji wa Mkutano wa tano wa Baraza la 12 la mashauriano ya kisiasa la China Bw. Wang Guoqing amesema mwaka jana pato la ndani la China liliongezeka kwa asilimia 6.7 na kufikia yuan trilioni 7, na kuchangia asilimia 33.2 ya ukuaji wa uchumi wa dunia nzima. Bw. Wang Guoqing amesisitiza kuwa ukuaji tulivu wa uchumi wa China utaongeza mahitaji ya soko, kuhamasisha uwekezaji, na kutoa fursa nyingi za ushirikiano kwa dunia nzima, na katika mwaka huu uchumi wa China utaendelea kuwa injini kuu ya uchumi wa dunia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako