• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa mwaka wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China waanza Beijing

    (GMT+08:00) 2017-03-03 15:10:29

    Mkutano wa tano wa Kamati Kuu ya 12 ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China umeanza leo mjini Beijing.

    Rais Xi Jinping wa China amehudhuria mkutano huo na mwenyekiti wa Baraza hilo Bw Yu Zhengsheng amehutubia na kufanya majumuisho ya kazi za Baraza kwa mwaka mmoja uliopita na kupanga kazi za mwaka huu.

    Ikiwa bodi ya ngazi ya juu zaidi ya kutoa ushauri wa kisiasa nchini China, Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China limefanya kazi za mashauriano ya kisiasa, usimamizi wa kidemokrasia na kushiriki na kujadili masuala ya kisiasa. Kwenye siku kumi zijazo, wajumbe zaidi ya 2,100 watatoa maoni na mapendekezo kwenye masuala mbalimbali makubwa yanayohusu sekta za siasa, uchumi na jamii n.k nchini China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako