• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Yu Zhengsheng ahutubia mkutano wa tano wa kamati kuu ya 12 ya CPPCC

    (GMT+08:00) 2017-03-03 21:14:41

    Mwenyekiti wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China CPPCC Bw. Yu Zhengsheng amesema mwaka wa 2017 ni muhimu katika kutekeleza mpango wa 13 wa maendeleo ya miaka mitano, kuimarisha mageuzi ya utoaji bidhaa, na Chama cha Kikomunisti cha China kitaitisha mkutano wake mkuu wa 19.

    Bw. Yu ameyasema hayo akihutubia mkutano wa tano wa kamati kuu ya 12 ya CPPCC ambao umeanza leo hapa Beijing. Kwenye mkutano huo, wajumbe zaidi ya 2,000 wamejadili masuala kuhusu maendeleo ya taifa na maisha ya watu, na kuchangia mawazo yao kwa ajili ya kutimiza ndoto ya China.

    Kwenye hotuba yake Bw. Yu Pia amefanya majumuisho kuhusu kazi za CPPCC katika mwaka jana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako