• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Miradi 19 ya mpango wa nishati mbadala yazindua barani Afrika

    (GMT+08:00) 2017-03-06 17:24:10

    Waziri wa mazingira, nishati na bahari wa Ufaransa Bibi Segolene Royal amesema, miradi 19 ya mpango wa nishati mbadala imezinduliwa hivi karibuni barani Afrika.

    Hivi karibuni, Bibi Royal alihudhuria shughuli za wiki ya teknolojia ya mpango wa nishati mbadala barani Afrika iliyofanyika Conakry, nchini Guinea, ambapo alisaini makubaliano na serikali ya Guniea kuhusu ushirikiano wa nishati mbadala kati ya nchi hizo mbili.

    Bibi Royal amesema, mpango huo ulioanzishwa mwishoni mwa mwaka 2015 umepata maendeleo halisi na baadhi ya miradi ya nishati safi imetekelezwa hatua kwa hatua.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako