• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Faida ya benki ya Kigali yaongezeka

    (GMT+08:00) 2017-03-09 18:10:51

    Benki ya Kigali nchini Rwanda imepata faida ya franc bilioni 20.8 mwaka wa 2016 ikilinganishwa na frac bilioni 20.5 mwaka 2015.

    Kabla ya kutozwa ushuru faida ya beki hiyo ilikuwa franc bilioni 30 na sasa imelipa ushuru wa karibu bilioni 10 kutokana na kupandishwa kwa ushuru na serikali.

    Mkurungezi wake Diane Karusisi amesema mwezi Mei kwenye mkutano wa wadau wa kila mwaka benki hiyo inapanga kutoa mgao wa faida wa asilimia 40% kwa wenye hisa.

    Mali za benki hiyo sasa zimeongezeka hadi franc bilioni 638.3 kutoka billioni 561.2 mwaka 2015.

    Hata hiyo Diane Karusisi amesema huneda wakapunguza wafanyakazi ili kuthibiti gharama ya oparesheni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako