• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi asisitiza uvumbuzi kwenye mchakato wa kuendeleza jeshi

    (GMT+08:00) 2017-03-13 08:39:26

    Rais Xi Jinping wa China ametoa mwito wa kuimarisha mafungamano kati ya jeshi na raia, na kusitiza uvumbuzi wa kiteknolojia kwenye mchakato wa kuendeleza jeshi liwe la kisasa. Akiongea na wabunge kutoka jeshini kwenye mkutano wa mwaka wa Bunge la umma la China unaoendelea hapa Beijing, rais Xi amesema juhudi zaidi zinatakiwa ili kutoa uungaji mkono mkubwa zaidi wa kisayansi na kiteknolojia kwa maendeleo ya jeshi la China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako