• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa 5 wa Baraza la 12 la mashauriano ya kisiasa la China wafungwa Beijing

    (GMT+08:00) 2017-03-13 09:58:49

    Mkutano wa 5 wa Baraza la 12 la mashauriano ya kisiasa la China umefungwa leo hapa Beijing.

    Rais Xi Jinping wa China, waziri mkuu Li keqiang, na viongozi wengine wa China wamehudhuria ufungaji wa mkutano huo ulioendeshwa na mwenyekiti wa baraza hilo Bw. Yu Zhengsheng.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako