• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Uingereza zaadhimisha miaka 45 ya uhusiano wa kibalozi

    (GMT+08:00) 2017-03-14 09:06:21

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang na mwenzake wa Uingereza Bibi Theresa May wametumiana salamu za pongezi, wakiadhimisha miaka 45 ya uhusiano wa kibalozi kati ya nchi zao. Kwenye barua yake Bw. Li Keqiang amesema China inapenda kushirikiana na Uingereza kuimarisha ushirikiano wa kunufaishana kwa manufaa ya nchi mbili. Kwa upande wake Bibi Theresa May ameeleza imani yake kuwa ushirikiano kati ya Uingereza na China utapata mafanikio zaidi katika siku zijazo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako