• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan Kusini:S Sudan kuandaa mkutano wa IGAD AWAMU YA 10

    (GMT+08:00) 2017-03-14 18:57:50

    Sudan Kusini itaandaa mkutano wa baraza la muungano wa halmashauri ya maendeleo wan chi za IGAD.

    Kwa mujibu wa afisi ya naibu wa rais ,mkutano huo utafanyika tarehe 15 mwezi huu .

    Lino Manaka spika wa bunge la nchi hiyo ,mazungumzo maaluma yatalenga masuala ya usalama wan chi hiyo .

    Aidha ajenda nyingine miongoni mwa nchi wanacahama zitakazojadiliwa ni pamoja na ugaidi,uhalifu miongoni mwa wanachama na kudhibiti usalama kwa jumla.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako