• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mayweather arejea ulingoni rasmi, kuzipiga na McGregor Juni 10 Las Vega

    (GMT+08:00) 2017-03-15 09:08:12
    Floyd Mayweather na Conor McGregor watapigana Juni 10, mwaka huu.

    Mmarekani anayefahamika kama Money na Muireland aitwaye Notorious wameuteua ukumbi wa T-Mobile Arena mjini Las Vegas kuwa shehemu. ya pambano lao.

    Kila mmoja ametaja bei yake ya kupanda ulingoni kuwa dola za Kimarekani Milioni 100.

    Mayweather amesema kwamba rasmi amerejea ulingoni kwa ajili ya McGregor baada ya kustaafu akiwa amepigana mapambano 49 na kushinda yote rekodi sawa na ya gwiji, legendary Rocky Marciano na hilo litaitwa "Pambano la Karne".

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako