• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Meli ya mafuta ya UAE yatekwa nyara katika bahari ya Somalia

    (GMT+08:00) 2017-03-15 16:58:12

    Meli ndogo ya mafuta ya kampuni ya Umoja wa Falme za Kiarabu imetekwa nyara jumatatu wiki hii katika bahari ya Somalia.

    Msimamizi wa Shirika la Bahari Zisizo na Uharamia pembe ya Afrika Bw. John Steed amesema meli hiyo iliyokuwa na wanafanyakazi wanane kutoka Sri Lanka ilitekwa nyara jumatatu majira ya saa nane na nusu mchana kwa saa za huko ilipokuwa ikielekea Mogadishu, Somalia kutoka Djibouti.

    Bw. Steed amesema hili ni tukio la kwanza kwa maharamia wa Somalia kuteka nyara meli ya kibiashara katika miaka mitano iliyopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako