• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa Marekani kufanya ziara nchini China

    (GMT+08:00) 2017-03-15 16:55:48

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Rex Tillerson, anatarajiwa kufanya ziara nchini China mwishoni mwa wiki hii.

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Hua Chunying amesema, China na Marekani zitabadilishana maoni kuhusu uhusiano wa pande mbili pamoja na masuala ya kikanda na kimataifa yanayofuatiliwa na nchi hizo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako