• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan Waziri wa Viwanda nchini Sudan ameagiza kuacha kuagiza bidhaa za chakula kutoka Misri

    (GMT+08:00) 2017-03-15 19:35:36

    Waziri wa Viwanda nchini Sudan ameagiza kuacha kuagiza bidhaa za chakula kutoka Misri kwa sababu chakula hizo zimeharibika na na inaweka afya za wananchi hatarin

    katika barua ya Waziri wa Biashara za Nje ni chakula zilizosimamishwa zisiingia nchini Sudan ni pamoja na jams, michuzi na ketchup.

    Aidha anasema ili kulinda afya ya wananchi wetu na kulinda bidhaa za taifa, ninamatumaini bidhaa hizo zitaongezwa kwa orodha ya bidhaa zilizopigwa marufuku kutoka Misri

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako