• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kelele za kocha na wachezaji wa Manchester United dhidi ya uwanja wa Rostov zazaa matunda

    (GMT+08:00) 2017-03-16 09:22:22

    Baada siku chache kupita kocha wa klabu ya Manchester United, Jose Mourinho kuulalamikia uwanja unaomilikiwa na klabu ya Rostov ya Russia, taarifa zimeeleza kuwa uwanja huo umefungiwa. Rostov ambao walicheza na Man United katika Europa League na kupata sare ya 1-1, Uwanja wao wa Omlip 2, umefungiwa katokana na ubovu. Kuanzia sasa mechi hazitachezwa katika uwanja huo hadi hapo marekebisho yatakapofanyika. Mourinho na wachezaji wa Man United walilalamika kuhusiana na ubovu wa uwanja huo ambao ulikuwa umejaa tope kupita kiasi huku nyasi zikiwa ni vipara

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako