• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bondia mtoto afariki wakati akipigana nchini Uingereza

    (GMT+08:00) 2017-03-16 09:22:39
    Kijana mmoja mwenye miaka 14 anayepigana mchezo wa ndondi amefariki baada ya kuzirai wakati wa pigano la kuwania taji la kitaifa.

    Scott Marsden alipelekwa hospitalini baada ya kuhitaji matibabu ya dharura wakati wa pigano hilo lililofanyika mjini Leeds siku ya Jumamosi, Lakini akafariki baadaye.

    Scott alikuwa mwanachama wa muungano wa Marsden All Styles Kickboxing mjini Sheffiled.

    Rais wa muungano wa shirikisho la mchezo wa Kickboxing duniani nchini Uingereza WKA Jon Green anasema kuwa Scott alikuwa mpiganaji anayeheshimiwa sana na mchezaji maarufu.

    Maafisa wa Polisi wa West Yorkshir waalisema wamechunguza kilichotokea lakini kifo chake inaonekana ni cha kawaida na hawamshuku mtu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako