• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ander Herrera athibitika kufungiwa michezo miwili na chama cha soka cha England FA

    (GMT+08:00) 2017-03-16 09:23:29

    Kiungo wa kimataifa wa Hispania anayeichezea Man United ya England Ander Herrera amethibitika kufungiwa michezo miwili na chama cha soka cha England FA.

    Herrera atakosa mechi mbili baada ya kuoneshwa kadi nyekundu ya pili ndani ya msimu mmoja, kadi ya kwanza alioneshwa dhidi ya Burnley October, Herrera sasa anaungana na Zlatan Ibrahimovic aliyefungiwa mechi 3 kwa kumpiga kiwiko Tyrone Mings wa AFC Bournemouth. Kwa sasa ni rasmi Herrera atakosa mechi za Middlesbrough na West Brom.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako