• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Uholanzi adai ushindi katika uchaguzi wa wabunge

    (GMT+08:00) 2017-03-16 18:14:47

    Waziri mkuu wa Uholanzi Mark Rutte amesema, nchi hiyo imeamua kusimamisha aina mbaya ya mfumo wa serikali unaofuata maoni ya umma.

    Rutte amesema hayo jana jioni baada ya kura za awali kuonyesha kuwa chama chake cha VVD kitaendelea kuwa na idadi kubwa ya wabunge katika uchaguzi wa wabunge.

    Kura za mwanzo zimeonyesha kuwa chama cha VVD kitashinda viti 31 kati ya 150 katika baraza la chini, huku mshindani wake mkubwa PVV kitapata viti 19, ikiwa ni sawa na vyama vya D66 na CDA.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako