• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • EAC: Anga huru iytasaidia kukuza uchumi Afrika mashariki

    (GMT+08:00) 2017-03-16 19:41:26

    Baraza la kibiashara la Afrika Mashriki limesema kuwekwa huru kwa njia za angani kwenye eneo hilo kutaiwezesha jumuia ya Afrika Mashariki kupata dola milioni 200 kila mwaka

    Aidha iwapo nchi zote za Azafrika Mashariki Rwanda, Uganda, Kenya, Tanzania na Burundi zitaweka huru anga zao kutakuwa na ajira mpya 46,320 .

    Mapendekezo ya baraza hilo pamoja na hazina ya utafiti ya Afrika Mashariki ynaonyehsa kwamba anga ikiw ahuru kutakuwa na ongezeko la safari za ndege, usafiri wa haraka na kupungua kwa bei ya kusafiri kwa ndege.

    Mkurugenzi wa baraza hilo Lilian Awinja, amewaambia wabunge wa bunge la Afrika mashariki kwamba kwa sasa usafirishaji wa abiria na mizigo kwenye kanda hiyo ni ghali sana kutokana na ukosefu wa sera ya anga huru.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako