• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Meli ya mafuta ya Aris 13 yaliyotekwa na maharamia wa Somalia yaachiwa

    (GMT+08:00) 2017-03-17 10:30:41

    Mtu mmoja ameuawa na wengine wanne wamejeruhiwa kwenye mapambano yaliyotokea jana kati ya vikosi vya Puntland na maharamia walioteka nyara meli ya mafuta ya Aris 13 kwenye eneo la Bari, Kaskazini mwa Somalia. Shirika binafsi la kufuatilia uharamia "Oceans Beyond Piracy" limetangaza kupitia ukurasa wake wa Twitter kwamba meli hiyo iliachiwa jana, na wafanyakazi wake wote wanane wako salama.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako